Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mh! Una ubavu wewe! Mie namba hii ningerukwa na akili. Weekend zangu huzithamini sana na unaona tofauti baada ya kuchakarika kwa siku tano mfululizo na ikiwa long weekend ndiyo raha mustarehe naweka nne kabisa.

Mimi kila siku niko mzigoni mara chache sana tena kwa mwezi mara moja ndo unakuta qeekends niko home
 
Popoz wameanza kulala, karibia wa shift ya asb wataingia mzigoni.
Bob
Mough
Mzee wa liver
Babe s
Numbisa, huyu akichaji simu atarudi.
Mzee wa arsenal
Mzee wa sadolin
Kaka shimba, nahisi ashapona.
Andjul, akiamka lazima aje kusalimia huku.
Yegomasika, huyu andaeitini leo haendi chuo nahisi atashinda huku.
Na wengineo wengi ambao sijawataja.
 
Back
Top Bottom