Etiii????? Unasemaje??????Yule mzee hana shida tatizo ni huyo mama
Ila naja kuchungulia dirishani[emoji23][emoji23][emoji23]usikute lile li tembo ndo linaamka sasa hivi na wewe unapata nafasi ya kulala[emoji23][emoji23][emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
Nashukuru nikalale[emoji23]
Ndivyo alivyokwambia kuwa anateseka?Namuonea huruma mzee wa watu mana unamtesa sana[emoji23][emoji23]
Nahisi kakesha huyuHivi ulianza kuaga saa ngapi vileeeee!? 🙂🙂🙂
Ila naomba na yule mumeo aamke aje kuwafumaniaAje tu atanikuta nimejaa tele
Hahahah itakuwa walibanana kitandani basi wakaamua kulala kwa shift hahahahIla naja kuchungulia dirishani[emoji23][emoji23][emoji23]usikute lile li tembo ndo linaamka sasa hivi na wewe unapata nafasi ya kulala[emoji23][emoji23]
Mimi kila siku niko mzigoni mara chache sana tena kwa mwezi mara moja ndo unakuta qeekends niko homeHahahah loh,kwhy ww hata wkend hupumziki?
Watu wanapeana shift km wako kazini, kuna wa night, asb na mchana. Huu uzi haupumziki
Msela kalale tuMpe salamu [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]
Cc:usingizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naomba nichague tabibu mimi mwenyeweDouble K, fanya maarifa kapeleke haka ka manzi kwa matabibu! Naona kamekuwa stressed out, eti kanataka na weekends zifutwe? [emoji3][emoji3]
Acha roho mbaya[emoji23][emoji23]Km ndio vya hivyo tena bora uache kuja. Ww umepata mwaliko na ww unaalika. Yaan umepewa lift unataka kupiga na honi?????
Ila overtime si inakuhusu?Mimi kila siku niko mzigoni mara chache sana tena kwa mwezi mara moja ndo unakuta qeekends niko home