Mdanganye sasaAcha kumtisha[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha umevurugwa ww
Anataka kupata uzoefuEti kanajidai kukamatia fursa za.wakubwa zake
Singo hiyo umeambiwa nimeachwa[emoji23][emoji23][emoji23]Ashapata kadi ya singo
Doooh[emoji47][emoji47][emoji47]Mm.sikutambui
Hahahha bora urudi dar tu ili hii nayo iishe ibaki story[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Shindwaaaaa
Asante sana BAKKaribu sana consuela.
Heeeeh[emoji22][emoji22]Hebu muache secretary wangu[emoji41]
Yaan anakoroma hlf simu yake niko nayo mm.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani akiwa pembeni yako ndo haamki
[emoji3] [emoji3]Achana nae bhana tatizo na wewe unampenda sana,njoo nikubebishe hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe achana na mimiBob au huyu ndio kashafaulu ule usaili wetu?
Cc cole[emoji3][emoji3][emoji3] Naweka mabano wahenga wasiione hii! [emoji123]
Wazee wa kutekana[emoji38][emoji38]Wazee wa misambwanda
Wazee wa mazizi