carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Bado dk2Dah yaan eti bado dk 18 tu
Bado dk2Dah yaan eti bado dk 18 tu
Aisee iliwekwa na kila mtu alijijua yy ni namba ngapi?Oh! Ilinipita hiyo na humu kutafuta kitu si shughuli ndogo.
Tena wakiwa wanakuzingua zaidi nakuongezea salary nakukupa mguu wa bata [emoji379] ili uimarishe security, wewe mtu muhimu ujue,kufanya kazi ya kumtafutia vv mama si mchezo[emoji41]Asante boss kwa jibu murua kbs[emoji14] [emoji14] [emoji14]
Tatizo Bob alikuja na gia mbaya wakamshtukiaWakija na mikwara yao hapa patakuwa hapatoshi, amuulize Bob
Akuuu, mie ni fahari ya mzee wa tukuyu tu.Yaani, embu tupiamo kapicha basi! [emoji3][emoji3]
Unataka nafasi ya kuwa mama viv?Hahhaha usijali maana mm ndio mtetezi wako humu.
Haya Bob
Cc cole
Familia nzima acha kabisa[emoji23][emoji23]Kwsbb amenipa kazi ya kumtafutia mama viv, halafu nasikia ww ndio umechaguliwa ili uwe unamtibu viv kwa urahisi akiugua,pmj na baba yake.
Hayo ni maamuzi ya mtoa mwalikoSingo hiyo umeambiwa nimeachwa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji4][emoji4]Hayo ni masaa tosha kabisa.
Halafu kuna binti namuona anamendea mendea humu toka jana usiku,hebu Fanya uchunguzi kidogoWivu tu
Njema sana shemeji mpenzi
Yaan sijui wameenda kulalaPipoz wamekimbia eeh
Mmmh hebu tumuulize...et andjul eeh nsamaka kasema et hubanduki kwake sababu ya kimsam....et ni kweli eeh me nimetumwa tu[emoji23][emoji23][emoji23]Situmii chochote ndio maana sina limsambwanda la kutisha,ninako kadogo tu ila ni ka original kbs ndio maana andjul habanduki hapa,anafnya yote ila mwisho wa siku lazima arudi kwangu.
Habari ndio hiyoHeeeeh[emoji22][emoji22]
Asante sana Secretary wangu[emoji41]Hahhaha usijali maana mm ndio mtetezi wako humu.
Kwani ukiwa mama viv.utapungukiwa na nn?Wewe achana na mimi
Hatujambo wote myoyaaa.... za sikukuuHujambo..majirani hawajambo