Dah yaanBado dk2
Dah yaanBado dk2
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]tatizo unaninyanyasa sanaYaan ww mwanamke ni jeuri sijapata kuona
Wasione kabisa yani[emoji3][emoji3][emoji3] Naweka mabano wahenga wasiione hii! [emoji123]
Umeona eeeh? Manake wengine.washaanza kuni corrupt eti niwapendelee kisa waliona ww ni mfanyabiashara.Tena wakiwa wanakuzingua zaidi nakuongezea salary nakukupa mguu wa bata [emoji379] ili uimarishe security, wewe mtu muhimu ujue,kufanya kazi ya kumtafutia vv mama si mchezo[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahha hadi wakafikishana kwenye mkwara wa bushaTatizo Bob alikuja na gia mbaya wakamshtukia
Daah!haya bhanaHee
About my daughter's health?
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]kwani wewe ni....Wivu tu
Akuuu, mie namsaidia tu kumtafutia. Ningekuwa naitaka hii chance ningeshaichukua maana mwanzo kbs iliniangukia mm.Unataka nafasi ya kuwa mama viv?
Na akija kwangu harudi mwambie kabisaAtakuja tu, we subiri time ifike uone
Oooh pole, nimejikwaa tu.Duu, hii sasa ndio wanaita roho ya kwa nini! Mbona unanifanyia hivyo lakini? [emoji848]
Humu kuna raha yake kwakweliHuwa nacheka mpk nalia
Haya boss, usijaliHalafu kuna binti namuona anamendea mendea humu toka jana usiku,hebu Fanya uchunguzi kidogo
Humu hajaja sema kaanzisha uzi huko kaangalie jukwaa hili hiliWeee karudi lini? Kasema alikuwa wapi? Na humu keshakuja kuripot?