carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Asante na iwe njema kwako piaNawatakia sikukuu njema wote
Nilitaka kushangaaWe nianze tu
Hawajaamka bado wengine wameenda kulala
Dodoma kwema tunasubiri mapilau ya sikukuuShwari mzee wa ini habari ya dom
Mwambie aamke bhanaHeee usinisumbulie mme kisa awahi kuja huku.
Wapenda jibapa tuko wengi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Njoo nikufariji basi mana nina jibapa hapa la kusogeza usiku[emoji23][emoji23][emoji23]
Kazi njemaGuys see you later , acha nijiandae kukamata zamu tena. Nikipata time ntakuwa nakuja kulisongesha hili gurudumu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Vipi amezicheki na hizo ning'ina mbili? Ni muhimu ujue! [emoji3][emoji3]
Shindwa kabisa[emoji13][emoji13]Zizi nakaribia kulipasua, lakini gumu[emoji3] lina mizizi hatar[emoji3] [emoji3] nitaenda nalo taratibu mpaka lipasuke[emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Humu kuna team tena [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Location puliziii