mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Habari za asbh Ruvuma
Kama mbwai mbwai tu[emoji28][emoji28]Dawa ya moto ni moto! [emoji121]️[emoji3][emoji3]
Tualikane basi[emoji38][emoji38]Dodoma kwema tunasubiri mapilau ya sikukuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani jitihada zote zile za asubuhi mzee wa ini anatoa majibu hayo??kweli
Acha kabisaWapenda jibapa tuko wengi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
WIN WIN SITUATIONWIN WIN
CantstopwontStop
Hata mimi nashangaa kwakweliHumu kuna team tena [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Nsamaka tena[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nsamaka kesho anatangaza nafasi
Jmosi anafanya interview na jpili viv anapata mama[emoji4]
AsanteKazi njema
Team carba ni wapi hao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naomba listi yakeCarba nina team mimi??hebu waje niwaone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nasikia umefanikiwa kuvunja lile zizi[emoji23][emoji23]
Me mwenyewe hata sijui kwakwel niliuliza sikupewa majibuTeam carba ni wapi hao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naomba listi yake