Kweli numbisa inabidi kusoma majina hila Mimi kama kk napenda sana kuangalia avatar najua huyu naniHee kumbe,saiv huwa nasoma jina maana avatar zinabadilika kila kukicha
Mkuu nipe updates zakeUS Open
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kkk acha hizoHahahahahah avatar zinabadilika kila second ngapi? [emoji23] [emoji23]
Hiyo team carba ni ipi jirani
Habari za asbh mkuu22'15
Kwani nini ni madaktari tu? kwani hujaona umuhimu wa askari polisi? Je wana maslahi mazuri kama madaktari? Kama kugoma ni ufumbuzi Itakuwaje wao wakigoma kwa masaa mawili tu? Wamechagua kazi ya wito, waifanye wakijua wapo kwenye nchi za kimasikini, migomo yao inaathiri watu wa kada nyingineMaslahi yao yaangaliwe.Huduma ya afya sio ya kuchezea chezea.Nchi zote za uchumi wa kati na wa juu madaktari wanaongoza kwa mishahara.
Jiulize kwa nini hapa Tz mtu akiumwa kidogo anakimbilia india?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bob 12 hujagombana na mamaa huko nije kusuluhisha maana hamna kesi iliyonishinda kama hizo[emoji23] [emoji23]
Lala unono yegoSikukuu njema jamani! Naenda kwa bed! [emoji137]♂️[emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji106] [emoji106] [emoji106] ..... good morning mkuuLove all
Trust few
Bonge la ujumbe kwangu Siku ya leo
Mambo yako mengi sana ya kujadili hata Siku nzima inaweza kwisha lakini humu ni likes sitoi comments yotete hapaMaslahi yao yaangaliwe.Huduma ya afya sio ya kuchezea chezea.Nchi zote za uchumi wa kati na wa juu madaktari wanaongoza kwa mishahara.
Jiulize kwa nini hapa Tz mtu akiumwa kidogo anakimbilia india?
Ndio raha ya huu Uzi chochote kile unapost lakini sio lugha chafu wala picha chafuNaona umeamua kumalizia sentensi