Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

892e2fb22f0c499097ccea7f5a0e2ecf.jpg
Yup
Music
 
Kwani nini ni madaktari tu? kwani hujaona umuhimu wa askari polisi? Je wana maslahi mazuri kama madaktari? Kama kugoma ni ufumbuzi Itakuwaje wao wakigoma kwa masaa mawili tu? Wamechagua kazi ya wito, waifanye wakijua wapo kwenye nchi za kimasikini, migomo yao inaathiri watu wa kada nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Point
 
Uhusiano uliopo kati ya pesa na muda✔
Bila shaka upo uhusiano mkubwa kati ya pesa na muda..

-Ndio maana nauli ya ndege ni kubwa kuliko ya basi, why..?

Kwa sababu ndege hutumia mda mchache (mf. Ukitoka dar kwenda moshi ni dk45 tu kwa ndege bt kwa gari ni takriban masaa 7-8)
 
Linapokuja suala la MUDA NA PESA, duniani kuna makundi manne ya watu…!

1. wapo wenye muda wa kutosha Lkn hawana pesa mf watu wasio na kazi maalum au wa kijiweni(ukimwambia akusindikize mahali yuko tayari muda wowote)

2. wapo wenye pesa lakini hawana muda. Unaweza kumualika ktk harusi akaacha kuja lakini akakuchangia hela ya maana tu.. hili ni kundi la madirector na mameneja wa vitengo muhimu ktk makampuni (ndio hawa JPM amewataka walipwe sio zaidi ya 15mil kwa sasa)
 
Barcelona have made a last-ditch attempt to sign Philippe Coutinho from Liverpool, according to Sport .
The Reds have so far resisted the Catalans' attempts to prise away their star man, continually insisting that he will not be sold at any price.
But the Blaugrana have made a new bid that falls just short of €150 million when bonuses are included in the hope they can get a deal done before the Spanish transfer deadline on Friday.
Huyu haondoki anfield
 
Back
Top Bottom