mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Nzuri mkuu heri ya sikukuu
Nzuri mkuu heri ya sikukuu
Hahaha kitu original kbsKama nakuona vile
Unataka kuRip Mkuu maisha matamu bhana
HahahhaaWazee wa kutekana[emoji38][emoji38]
HahahaHalafu kuna binti namuona anamendea mendea humu toka jana usiku,hebu Fanya uchunguzi kidogo
Naomba members wa hii wakinanani
YapLikes za asubuhi
Mkuu angalia mab...... Kazee ka mwanga kaleZizi nakaribia kulipasua, lakini gumu[emoji3] lina mizizi hatar[emoji3] [emoji3] nitaenda nalo taratibu mpaka lipasuke[emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
AMUN RA10:12
AMUN RA
Happy idd kweli walahi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usikose kuweka vat69 na jack D
Kweli kabisa la mkindu
Pamoja Mkuu tutakaribia
Wasiopenda watajificha kwa wenza wao Wasiopenda sasa itabidi wasome mchanaMkuu watu wengine hawapendi simulizi za kichawi, lakini ikiwa walio wengi mtaruhusu, mi nita tililika tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Good morning my princessGood morning mzee wa liver
Njema kabisaHabari za asubuhi wakuu.
Eid Njema