Kicheko ni muhimu sana ukiingia kwenye huu Uzi lazima ucheke tuHilo ni kweli kabisa halafu watu wako very charming mie huwa nacheka sana wanavyotaniana lol!
Aminia kabisaPopoz wameanza kulala, karibia wa shift ya asb wataingia mzigoni.
Bob
Mough
Mzee wa liver
Babe s
Numbisa, huyu akichaji simu atarudi.
Mzee wa arsenal
Mzee wa sadolin
Kaka shimba, nahisi ashapona.
Andjul, akiamka lazima aje kusalimia huku.
Yegomasika, huyu andaeitini leo haendi chuo nahisi atashinda huku.
Na wengineo wengi ambao sijawataja.
Mkuu niaje heri ya sikukuu
Pamoja Mwenye Enzi Mungu atakulinda na utafika salama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utajijuuu, cole atapata mwaliko ila kadi yake itakuwa ya singo.
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]Na umetoka salama huko liwale bila busha,sio???? Hahahah maana ukiadimika tu hapa tunajua lishakupata
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ya kichina
Ina maana wale waliompa busha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aaah basi sawa, kwa niaba ya wana uzi wote humu nakutakia safari njema.
Ukifika umsalimie Viv.
Imebidi niseme kwa niaba ya wote ili hata wale wabaya wako wakose cha kusema hehehehhe
Huwezi fukuza Kuku peke yako hahahahaha
Kama nakuona vileSitumii chochote ndio maana sina limsambwanda la kutisha,ninako kadogo tu ila ni ka original kbs ndio maana andjul habanduki hapa,anafnya yote ila mwisho wa siku lazima arudi kwangu.
Wewe mkerewe kapicha ka nini[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani, embu tupiamo kapicha basi! [emoji3][emoji3]
OK Bob safari njema
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwa speed hii mwishoni mwa mwaka unaweza ukawa unaitafuta 1 million.