Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wazee wa Likes Mnakaribishwa sana !! Cha mchana, Loading. ........

cdd2fca49060c16286b4f3226998df24.gif
ffbaf1201c82072292661b4b0daebd82.jpg
Asante sana mzee tunakuja
 
Andjul, mzee wa Tukuyu, mkaazi wa Dar, bingwa wa kuvamia mazizi, mzee uloyejaa ucheshi, bingwa wa kuchagua MIJIMAMA inayomiliki makalio makubwa na mazito aka MISAMBWANDA, mkuu pole sana kwa kuuguza mzazi wetu, MUNGU wa Adamu, Nuhu, Ibrahimu, Mussa, Issa, MUHAMMAD amponye haraka mzazi wetu ili upate utulivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom