konge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 6,621
- 41,334
[emoji1317][emoji1317][emoji1317]
Mzee wa chuga
13:1312:29
My Queen usicheke sana hiko kicheko cha kichaga Mimi huku hoi[emoji8] [emoji8] [emoji8]Yeuwii
Hahahaha
Zipi
Kama siyo rufiji sijui!!! Ni Kipu Kipugira, Mloka, Mkongo, Ngolongo nk
Sent using Jamii Forums mobile app
AMUN RA13:13
AMUN RA
Hivyo kwa mwezi huyu mchoma mahindi atakuwa ameingiza kiasi cha sh.705,000/-
Mwalimu mwenye Degree anayeanza kazi analipwa 584,000/- akikatwa kodi pamoja na makato mengene ya mifuko ya jamii anabakiwa na sh.425,000/.
Tofauti ya Mwalimu wa degree na Muuza mahindi ni kuwa Mwalimu kaajiriwa, muuza mahindi kajiajiri. Mwalimu anafanya kazi masaa 9 kwa siku, muuza mahindi anafanya kazi masaa matatu kwa siku (saa 12 jioni hadi 2 usiku).
Jf ni dunia kiganjani mwakoWengine utadhani wanakesha, kumbe mahali walipo ni mchana na wengine jioni.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaMy Queen usicheke sana hiko kicheko cha kichaga Mimi huku hoi[emoji8] [emoji8] [emoji8]
Good for her walahiView attachment 579658mchoma mahindi mwenyewe huyo hapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee nitafungua na Mimi wa kwangu nitaita jina hilo nimelipenda sanaMzee Duna alifungua mgahawa, akaajiri vijana kadhaa kwa ajili ya kumsaidia kuwahudumia wateja. Biashara ikawa nzuri, akazidi kutanua biashara yake, akaongeza eneo ili kuwahudumia wateja wengi zaidi. Mzee Duna alipata maeneo kadhaa, akafungua migahawa mikubwa na kuipa jina la "MIND YOUR OWN BUSINESS RESTAURANT".
Poa my QueenNiko home
Naangalia movies
Na bahari
Niko mwenyewe
It's peaceful afternoon really
AMUN RA13:13
AMUN RA
Toa zako kwanzaNipeni credit zangu bsi hahahaha
AMUN RAPoa my Queen
AminaSHIMBA WA BUYENZE, Simba dume lenye manyoya nyoya, mtangaza vivutio vya utalii vya mji wa magu na kimji/ kijiji cha Koromije, POLE sana kwa maradhi. Mwenyezi MUNGU akufanyiwe wepesi upone baraka maradhi yanayokusibu
Sent using Jamii Forums mobile app
AminaMyoyambendi, kijana mpole usiye na makuu, bingwa wa kumwaga likes, NAKUTAKIA kila LA kheri upone haraka maradhi ya MENO yanayo kusibu
Sent using Jamii Forums mobile app