AminaAndjul, mzee wa Tukuyu, mkaazi wa Dar, bingwa wa kuvamia mazizi, mzee uloyejaa ucheshi, bingwa wa kuchagua MIJIMAMA inayomiliki makalio makubwa na mazito aka MISAMBWANDA, mkuu pole sana kwa kuuguza mzazi wetu, MUNGU wa Adamu, Nuhu, Ibrahimu, Mussa, Issa, MUHAMMAD amponye haraka mzazi wetu ili upate utulivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Gr8 kwa kweliHahahaha
Wana nichekesha walahi
Huu uzi ni faraja walahi
Mialiko yote nimeipiga chini
Niko na movie na jf
Hahahaha
Weka vat 69 my favor drink hapo nitakujaKwa niaba ya mzee wa tukuyu napenda kuwakaribisha wote kwenye hapa nyumbani kwetu kwaajili ya sikukuu ya idd