Yuko kwa politiki anahamasishaCocochanel mama wa mithali aonekani Siku hizi humu
Utaishia kusoma story za mafanikio ya akina Mengi, Dewji, Dangote, shigongo lakini yako itakua tu HISTORIA YA MAREHEMU KWA UFUPI ulisoma darasa la kwanza hadi Saba shule ya msingi mwembengoma……
Historia inafutika hapo hapo….
RECONSIDER YOUR LIFE,
Mind you own business,