mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mahakama ya kilele Kenya yafanya maajabu
Aisee kweli wamefanya maajabuMahakama ya kilele Kenya yafanya maajabu
13:5013:50
Asee pole sana, lakini kama unatumikia jamii ya watanzania nakupa hongera sana. Wapiganie watanzania kwa moyo mmoja na mungu atakulipa. Usithubutu kujiunga na magenge ya migomo kwa faida ya kisiasa kwa kisingizio cha maslahi duni.Piga kazi kwa roho mojaMimi kila siku niko mzigoni mara chache sana tena kwa mwezi mara moja ndo unakuta qeekends niko home
[emoji777]mara mna lalamika,show hazisimamiwi vizuri [emoji85][emoji85][emoji85]
Hahahahaha ongeza speed mkuuJamani nipo masaa 7 nyuma yenu, kila nikiwafuata kwa kasi nanyi mnakimbia kishenzi. Daa punguzeni speed tuungane
Sent using Jamii Forums mobile app