myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Muda wa pilau huuWatu mko kimya mnagonga mapilau[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Muda wa pilau huuWatu mko kimya mnagonga mapilau[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahahaSiku ya makavu [emoji1360][emoji1360][emoji1319][emoji1319]
KweliUtaishia kusoma story za mafanikio ya akina Mengi, Dewji, Dangote, shigongo lakini yako itakua tu HISTORIA YA MAREHEMU KWA UFUPI ulisoma darasa la kwanza hadi Saba shule ya msingi mwembengoma……
Historia inafutika hapo hapo….
RECONSIDER YOUR LIFE,
Mind you own business,
Naona wanagonga kimya kimya tu[emoji41] [emoji41] [emoji41]Muda wa pilau huu
[emoji106][emoji106][emoji106]Hivyo kwa mwezi huyu mchoma mahindi atakuwa ameingiza kiasi cha sh.705,000/-
Mwalimu mwenye Degree anayeanza kazi analipwa 584,000/- akikatwa kodi pamoja na makato mengene ya mifuko ya jamii anabakiwa na sh.425,000/.
Tofauti ya Mwalimu wa degree na Muuza mahindi ni kuwa Mwalimu kaajiriwa, muuza mahindi kajiajiri. Mwalimu anafanya kazi masaa 9 kwa siku, muuza mahindi anafanya kazi masaa matatu kwa siku (saa 12 jioni hadi 2 usiku).
Hata makande ni chakula...Napata makande kwa raha zangu
Muda huu angalau nageuza shingo na kuongea vizuri..asante sana . wew je