mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Wali choroko
Asante sana mkuu. Nikitia mguu Mbagala tutakuja tupange tupate angalau supu ya pweze. Eid njema !!!SHIMBA WA BUYENZE, Simba dume lenye manyoya nyoya, mtangaza vivutio vya utalii vya mji wa magu na kimji/ kijiji cha Koromije, POLE sana kwa maradhi. Mwenyezi MUNGU akufanyiwe wepesi upone baraka maradhi yanayokusibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja sanaIko poa
Yoyote ni likesMimi niweke comment gani??😱
14:1814:10
Siku hazigandiTumeanza theluthi ya mwisho ya mwaka