Kabisa sio mpka sikukuu ni ukiwa na nafasi muhimu kuwakumbuka
Kweli kabisa
We dada weweee !!!Dah kwkaweli shimba asipopata nafuu, basi atakuwa na ugonjwa sugu.
[emoji818][emoji818][emoji818]
IndeedKabisa sio mpka sikukuu ni ukiwa na nafasi muhimu kuwakumbuka
Mapicha yako wapi jamani? Inaonekana nimepitwa na mengi !!!Kwa mapicha yale, shimba asipopona dah itakuwa ana matatizo mengine.
Pole sanaNiko poa kamanda. Ni mamiili yetu haya. Vikolombwezo vingi mno, na kila kimoja ni lazima kifanye kazi ipasavyo vinginevyo mtafaruku unatokea. Naendelea vizuri sana na asante kwa kujali mkuu...
Kumi na nne
Pamoja mkuu sikukuu inaendelea yaani mtaa mzima ni harufu ya mapilau tu sijui hii kanuni ilitoka wapi kuwa sikukuu lazima yapikwe hayoNiko poa kamanda. Ni mamiili yetu haya. Vikolombwezo vingi mno, na kila kimoja ni lazima kifanye kazi ipasavyo vinginevyo mtafaruku unatokea. Naendelea vizuri sana na asante kwa kujali mkuu...
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Indeed my babes