HahahaHahahaaa kuvimbewa tu
Asante mwenyekiti. Kweli nimeona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakutakia afya njema shemeji yangu SYB,naamini ikifika kesho utakuwa imara,macho yako yataona vitu vizuri![]()
Lete updates MkuuUhuru Kenyatta to address the nation
Asante Mr. Chairman. Natumaini na wewe mnaendelea vyema huko Tukuyu.![]()
No doubt mkoromije utapata faraja uamkapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Inaonekana jana Mzee wa Tukuyu aliwasha moto kweli kweli. Safi sana !!!Mkoromije jamani uko wapi eeh
Andaeitini utakuja kumuua na haya mambo yako. Pole pole M/kiti....![]()
Shemeji,unaumwa kweli? Umeniacha na huyu andaeitini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Tulio kulia usukumani hatushangai