HahahaHahahaaa kuvimbewa tu
Asante mwenyekiti. Kweli nimeona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakutakia afya njema shemeji yangu SYB,naamini ikifika kesho utakuwa imara,macho yako yataona vitu vizuri
Lete updates MkuuUhuru Kenyatta to address the nation
Asante Mr. Chairman. Natumaini na wewe mnaendelea vyema huko Tukuyu.
No doubt mkoromije utapata faraja uamkapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Inaonekana jana Mzee wa Tukuyu aliwasha moto kweli kweli. Safi sana !!!Mkoromije jamani uko wapi eeh
Andaeitini utakuja kumuua na haya mambo yako. Pole pole M/kiti....
Shemeji,unaumwa kweli? Umeniacha na huyu andaeitini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tulio kulia usukumani hatushangai