Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

6. USILALE NA MKE/MUME WA MTU.
wanasayansi wanasema jambo kama
hili linapotokea na ukabainika
linaweza chukua uhai wa mtu hata
kukuacha na maumivu baada ya
kuharibiwa uso kwa makondo yasiyo
na mpangilio, ni vizuri ukawa makini
sana hapa!
Ukibisha yakikukuta shauri yako!
 
HII NI MISINGI 6 YA KUWA AMANI NA FURAHA KATIKA MAISHA:

1. Usimchukie yeyote hata kama atakukosea sana.

2. Ishi maisha ya kawaida hata kama upo juu kimaisha.

3.Tarajia baraka hata kama magumu yanakusonga.

4.Toa hata kama wewe umenyimwa.

5.Onyesha tabasamu hata kama moyo unavuja damu.

6.Usiache kuwaombea wengine hata kama yako hayajajibiwa.

Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa Rehema.
 
Kila mtu dunia hii anahistoria yake✔
Kijana wa miaka 24 alikua anaangalia ktk dirisha la treni, mara akahamaki akasema…

_"Baba angalia, miti inarudi nyuma, inarudi kwa kasi sana!!"_

Baba yake akamwangalia kwa furaha kisha akatabasamu!
 
Labda huko utafiti ulikofanyika lakini huku Mbagala wenye misambwanda ovyo kweli

CantstopwontStop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…