moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
AMUN RA
Hiyo stories kuhusiana na wale wachawi wawili itawajia pundeWasiopenda watajificha kwa wenza wao Wasiopenda sasa itabidi wasome mchana
CantstopwontStop
Asante kwa kutumbuka mchina maana nilisema yaani kwa ajili ya pilau tu hata salamu mchina hataki[emoji23] [emoji23] [emoji23]Uzi huu,
Uzi huu,
Uzi huu,
Uzi huu,
Ingawa huwezi shonea nguo lakini ni ngumu kutoingia walau kila nafasi ipatikanapo.
Watu wana upendo mkuu,
Ni familia moja yenye maelewano makubwa.
Huu uzi uzidi kuimarika siku hadi siku.
Jioni na Eid mubarak njema nakutakieni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee wa man u Siku wakicheza lazima ajeAkija hapa anaweka post ile ile hata mara mia halafu huyoo anasepa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()