Hakuna kama mamaMwanadamu ulizaliwa katika hisia za kulia ukiwa kichanga mwenye uchafu Asili ya upendo ipo kwa mama ulipofumbua macho ulikutana na tabasamu la mama.
Mama alitabasamu wakati unalia mama alijifanya uchizi ili kukufurahisha ghafla ungetokea kuwaona mtoto anapocheza na mama yake ungelidhani wote ni watoto kwa mapenzi ya mama.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Na vitakosekanaMtafanya viazi vipande bei jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kazi kweli kweli
IndeedHakuna kama mama