Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duh.. Hatari lakini ni salama
 
Uniq mwanafunzi mjasiliamali, ukiwa bega kwa bega na mlimbwende wako babeS popote mlipo mnaalikwa kuhudhuria kwenye tafrija ya kindugu, "likes family". Hapa kwangu kijichi DSM. twajua mmepotea sana siku chache hizi, lakini nina imani kuwa kukutana kwetu kutatuunganisha tena . KARIBUNI SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…