myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji818][emoji818][emoji818]If a human being’s DNA were uncoiled, it would stretch 10 billion miles, from Earth to Pluto and back.
[emoji818][emoji818][emoji818]If a human being’s DNA were uncoiled, it would stretch 10 billion miles, from Earth to Pluto and back.
Kumbuka zama zile tukifika kisutu karibu na soko mjinga na Gerezani, pale kidogongo chekundu mtaa wa kiungani tukiwafuata wale wamama na wa Dada wa kabila lileeeee kwenda kujipooza[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Asante sana jirani, Mnyaazi Mungu akijalia tutakaribia; Insha Allah! Sasa mwenza hata wa kusingiziwa humu sina, nitazuka kigumu bhana. Ila umenikumbusha mbali sana, mitaa yetu hiyo. Ni kona ipi hapo katikati ya jiji tusoijua? Utoto ilikuwa raha sana!
Eti MchinaKichwa kichafu, mzee wa kibiti, ukiwa bega kwa bega na mchumbaako GeJo, mnaalikwa kuhudhuria tafrija ya kishua, hapa ushuani Kijichi. Tafadhali kwa kuwa unaishi jirani na mchina ho chi minh, tunakupa mwaliko wake umfikishie na umpakie kwenye gari yako, uje naye akiwa na mchumba/ mke wake kwenye eneo husika
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuuuu! siku hizi bwana yuleee naye, anachukua watu wa kwake wamsaidie kubeba lumbesa za wabongo. Sijui kama huo nao ni ubaguzi?Kila mtu ni mbaguzi kwa kiwango chake. Kwa mfano, wewe hapo hupendi kuchanganyika na watu wa aina gani? Huo siyo ubaguzi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jua na mwezi...
Kumbuka zama zile tukifika kisutu karibu na soko mjinga na Gerezani, pale kidogongo chekundu mtaa wa kiungani tukiwafuata wale wamama na wa Dada wa kabila lileeeee kwenda kujipooza[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app