ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Kumi na Saba
Yegomasika, jirani yangu wa utotoni pale kata ya mchafukoge, na kitumbini, yani katikati kabisa ya jiji la Dar, kwenye mitaa yetu pendwa ya jamuhuri, Aggrey, Fupi, Mshihiri, Kitumbini, Moscow nk. Tafadhali unaalikwa ukiwa na mwenza wako tusiyemjua kwenye dhifa ya chakula cha usiku hapa home. Kufika kwako ndiyo ukamilifu wa shughuli yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106][emoji106]
[emoji106][emoji106][emoji106]HII NI MISINGI 6 YA KUWA AMANI NA FURAHA KATIKA MAISHA:
1. Usimchukie yeyote hata kama atakukosea sana.
2. Ishi maisha ya kawaida hata kama upo juu kimaisha.
3.Tarajia baraka hata kama magumu yanakusonga.
4.Toa hata kama wewe umenyimwa.
5.Onyesha tabasamu hata kama moyo unavuja damu.
6.Usiache kuwaombea wengine hata kama yako hayajajibiwa.
Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa Rehema.
Wanaweza kuwa na akili sana..pengine mfumo tu wa kwetu unawabaguaLabda huko utafiti ulikofanyika lakini huku Mbagala wenye misambwanda ovyo kweli
CantstopwontStop