mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
You are my number oneNumber one
You are my number oneNumber one
Shukrani sana moud.... barikiwa[emoji120]SHIMBA WA BUYENZE, ukiwa sambamba na wife wako Jakitoo, mnaalikwa kwenye tafrija ya chakula cha usiku hapa kwetu Kijichi ufukoni mwa bahari ya Hindi, karibu kabisa na ufukwe maarufu wa motope (kijichi beachi matope)
Sent using Jamii Forums mobile app
So sweet of you my babes!You are my number one
Wanashinda tena MkuuUhururuto kazi mnayo
DJ sepetu
Arobaini na nne
Kama mnataka Mali mtaipata shambani kabisa4. Baba aliye kufani,
akajibu lile swali,
Ninakufa maskini,
baba yenu sina hali,
Neno moja lishikeni,
kama mnataka mali,
Kama mnataka mali,
mtayapata shambani.
17Kumi na saba
Alifunika vibaya akiwa sambamba na wife wake nsamaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Inaonekana jana Mzee wa Tukuyu aliwasha moto kweli kweli. Safi sana !!!
7Saba