Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Q995
Joseverest hivi kweli ni wewe au naota? Ndugu yangu pole sana. Hatujakuona hapa kitambo bro, mengi yalisemwa dhidi yako lakini yote yalihusu upendo wa member wenzako kwako. Karibu tena ndugu yetu, karibu kaka
Hahaha jaman uonevu