Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ahaaaa...Taratibu aisee! Huwezi amini siku hizi pale Kisutu soko mjinga panaonekana kama Independence a.k.a Samora Avenue! Kwanza ulikuwa huwezi katiza usiku mitaa hiyo, kulikuwa na vibaka hatari!
Aisee umenikumbusha eneo hatari mida ya usiku ulikuwa ukitoka jengo la uvccm kwenda shule ya msingi upanga kupitia jela ya watoto na zanaki pale usiku palikuwa hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…