Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-09-01-18-52-34.png
 
Kumbuka zama zile tukifika kisutu karibu na soko mjinga na Gerezani, pale kidogongo chekundu mtaa wa kiungani tukiwafuata wale wamama na wa Dada wa kabila lileeeee kwenda kujipooza[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
1. Ticha:"Punda ni mnyama anaefugwa nyumbani,lakini akiwa mwituni anaitwa pundamilia….Je sungura anayeishi mwituni anaitwaje?"

ZUZU:"Sunguramilia."

2.Ticha:"Rais wa kwanza wa kenya aliitwa KENYATTA…Je rais wa kwanza wa
Tanzania aliitwaje?"
ZUZU:"TANZANIATTA."

3. Ticha:"Kuku yuko katika jamii ya NDEGE…Je samaki yuko katika jamii ya nini?"

ZUZU:"MELI."

4. Ticha:"Coach wa Arsenal anaitwa ARSENE,wa Man-city anaitwa MANCINI….Je wa
Liverpool anaitwaje?

ZUZU:"LIVER."

5 Ticha:"Ukiwa na mbuzi 10,wezi waje waibe 5,utabaki na nini?"

ZUZU:"Hasira nyingi sana!"
 
Back
Top Bottom