Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamaa alimpa lift dada, ikawa kila akibadili gia mkono unagusa paja la yule demu, basi yule dada akawa analalamika na kusema "kasome mathayo 7". . .jamaa akaogopa na kuacha, kufika home tu jamaa akakimbilia biblia kufungua akakuta imeandikwa "Ombeni nanyi mtapewa"
 
Mupoooo
FB_IMG_1504280577464.jpg
nawachungulia tu
 
An old masai man was struggling a bit with english in abroad. He enters a restaurant and wants to order chicken but he can't remember what is chicken in english. So he sees one guy at a table next to him with a plate of 4 eggs on it. The old man points to the plate of eggs and says to the waiter, "i want their mother!"
 
Mwalimu mmoja alikuwa anafundisha darasani, wakati anafundisha kwa bahati mbaya akajamba! Basi wanafunzi wote wakaziba pua na kuanza kucheka, ndo mwalimu akaona ni aibu bora aombe likizo ya mwezi mzima ili wanafunzi wawe wamesahau. Mwezi ulipoisha akarudi na kuingia darasani,akawauliza wanafunzi,"Tuliishia wapi?" Wanafunzi:"Tuliishia pale ulipo jamba". Basi mwalimu akapigwa na butwaa na akaamua kuacha kazi jumla.
 
Back
Top Bottom