Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mke mmoja alimpa mme wake redio aende nayo chooni ili asiboreke kwa vile huwa anakaa muda mrefu. Basi alvyotoka akamuuliza,''ehe mme wangu ulienjoy?".
Mme,"ah wajinga hawa! Wameniwekea wimbo wa taifa,nimejisaidia huku nimesimama".
 
Mmeshindaje wapenzi wa likes
Siku yaelekea ukingoni
Kwa penalti[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377] nshavuta sahv, so usishangaee[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikukuu ilikuwa nzuri kweli[emoji23][emoji23][emoji23]si kwa hairstyle hii
FB_IMG_1504281007728.jpg
 
Back
Top Bottom