Masai alipeleka redio yake kwa fundi, ilipofunguliwa ili itengenezwe, wakatoka mende weeengi, masai alivyoona hivyo akamwambia fundi ''KAMATA HAO WATANGASAJI WANAISIA.
An old masai man was struggling a bit with english in abroad. He enters a restaurant and wants to order chicken but he can't remember what is chicken in english. So he sees one guy at a table next to him with a plate of 4 eggs on it. The old man points to the plate of eggs and says to the waiter, "i want their mother!"
Mwalimu mmoja alikuwa anafundisha darasani, wakati anafundisha kwa bahati mbaya akajamba! Basi wanafunzi wote wakaziba pua na kuanza kucheka, ndo mwalimu akaona ni aibu bora aombe likizo ya mwezi mzima ili wanafunzi wawe wamesahau. Mwezi ulipoisha akarudi na kuingia darasani,akawauliza wanafunzi,"Tuliishia wapi?" Wanafunzi:"Tuliishia pale ulipo jamba". Basi mwalimu akapigwa na butwaa na akaamua kuacha kazi jumla.