Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baada ya kuteketeza ndugu zake kadhaa, kuanzia mwaka 1989 akaamua kufanya uchawi kibiashara. Kutokana na Jiografia ya kata hiyo, akaja na uchawi wa mamba , shuhuda mmoja mzee dudumizi ( marehemu kwa sasa) ambaye alikuwa wakala wa mchawi huyo kwenye kijiji kimojawapo, anasema: "manyoya alikuwa na mamba watatu na kila mmoja alitambulika kwa jina. Pia kila mmoja alikuwa na jukumu tofauti"

Sent using Jamii Forums mobile app
Yap
 
25659b77d23df1ee35fa55baf2474898.jpg
 
Back
Top Bottom