BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Kabisa mkuu
Maneno ya kwenye taarabu hayoNi sound waves. Sasa utayarudishaje? Kwema ndugu?
01:0323:23
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi wewe ndio yule Consuela aliyekuwa mchumba wa Antonio Adolfo katika ile "La Mujer De Mi Vida"??[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli. Likes kwa kwenda mbele..upo mpaka mida ya wanga leo?Tutabishana mpka asbh wacha tupate likes
Niaje MkuuBoss wangu
YapSiku inaisha..ijumaa ya eid
Mkuu133R
Bruce lee
Hahahahahamzee wa liver kwema leo nilikuwa busy kutafuta mialiko si unajua mwenyekiti wa huku kibiti
Hahahahaha my Queen amepumzika baada ya shughuli za sikukuuEid imekwenaje hamna kilichobaki huko masaki nije?
HahahahahaMilonge haikuwepo?
Naweza kuingiq mwenyewe jikoni kukwangua vilivyobakiHahahahaha my Queen amepumzika baada ya shughuli za sikukuu
Pamoja mkuu.Tukutane hapa asubuhi ndugu zangu,. Inshaallah mwenyezi mungu akijaalia
Sent using Jamii Forums mobile app
01:1600:44