Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Makumyabili nibili...
Nimejikuta nacheka sana. Hizi likes utafikiri kazi. Eti uingie tena mzigoni kufanya yako. Kazi kweli kweli yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
YapBaada ya kuteketeza ndugu zake kadhaa, kuanzia mwaka 1989 akaamua kufanya uchawi kibiashara. Kutokana na Jiografia ya kata hiyo, akaja na uchawi wa mamba , shuhuda mmoja mzee dudumizi ( marehemu kwa sasa) ambaye alikuwa wakala wa mchawi huyo kwenye kijiji kimojawapo, anasema: "manyoya alikuwa na mamba watatu na kila mmoja alitambulika kwa jina. Pia kila mmoja alikuwa na jukumu tofauti"
Sent using Jamii Forums mobile app

00:3022:44
YapMzee Dudumizi aliongea na mimi mwaka 2012, miaka 3 baada ya kifo cha manyoya. Anasema mamba wa kwanza aliitwa BAKARI, huyu alikua hauwi, huyu ni mamba wa vitisho. Kwamba atakuvamia mtoni kisha anakutupa nje ya mto
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nimejikuta nacheka sana. Hizi likes utafikiri kazi. Eti uingie tena mzigoni kufanya yako. Kazi kweli kweli yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ok