Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Na hii mental slave ndo balaa kama juzi nilikua sehemu, kuna binti nikamsikia akisema mimi si kama mzungu. Emancipate yourself From mental slaveWaafrika kujidhalilisha tu. Eti kwenda kuwastarehesha watalii wa kizungu hukoo beach. Mabinti wa Kiafrika wanakata mauno weee....
![]()
CantstopwontStop