Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Na hii mental slave ndo balaa kama juzi nilikua sehemu, kuna binti nikamsikia akisema mimi si kama mzungu. Emancipate yourself From mental slaveWaafrika kujidhalilisha tu. Eti kwenda kuwastarehesha watalii wa kizungu hukoo beach. Mabinti wa Kiafrika wanakata mauno weee....
Bora hata asilijue hilo chura[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu niache kwanza dooh!yeye mwenyewe tu hataki kujua
Sema mkuu. Usije tu ukasema kuwa na huyu hana akili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Broo
CantstopwontStop
We all DieApumzike kwa amani. Ndo safari yetu hiyo sisi wana wa Adamu...
Jiangalie ww YEGOMASIKA unachorekaAre you calling me? [emoji3][emoji3]
Mzungu hata akiwa homeless huko kwao alikotoka atapata binti ye yote mweusi amtakaye huku kwetu. Jamaa wametutawala kisaikolojia kwa kweli !!!Na hii mental slave ndo balaa kama juzi nilikua sehemu, kuna binti nikamsikia akisema mimi si kama mzungu. Emancipate yourself From mental slave
CantstopwontStop