Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tottenham wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Swansea Fernando Llorente kwa mkataba wa miaka miwili kwa ada ambayo haijafichuliwa.
Mabingwa wa Ligi ya Premia Chelsea walikuwa wamekaribia kumchukua kwa Β£15m lakini mwishowe hawakufanikiwa.
Mchezaji huyo wa miaka 32 alicheza chini ya meneja wa sasa wa Chelsea Antonio Conte alipokuwa kwenye usukani klabu ya Juventus.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…