mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hongera kwakeBingwa wa tennis kwa upande bi Serena Williams amejifungua mtoto wa kike katika hospitali moja ya mjini Florida Marekani.
Japo mwenyewe na jamaa zake hawajatoa tangazo rasmi tayari kuna ujumbe wa kumpa hongera katika ukurasa rasmi wa Twitter akaunti ya US Open Tennis kutoka kwa kocha wake miongoni mwa wengine .
Kama mi moto wa yule Mmeru ulivyoniwakia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]natamani ni m cc mtu sema akija hapa huo moto wake sasa
Mimi ni shemeji sapotivu bhana[emoji23][emoji23][emoji23]Narudia tena. We shemeji MKOROFIIIII !!! ...and I love it !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]natamani ni m cc mtu sema akija hapa huo moto wake sasa
Hii interview ni privacyBado sijapokea yake
Bob una madharau... NakuangaliaBila kuangalia mazingira halisi
Sasa yego kamwili kenyeze ka kabetina naenda gym kufanya nini??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Embu usije acha tu kwenda gym. [emoji3][emoji3]
Cc. Uniq....
Inamana mmeru hajui kama tunataniana humu?kama kukasirika wangekasirika wengi[emoji23][emoji23][emoji23]ila nilitaka nim cc shemeji ako yule studenti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama mi moto wa yule Mmeru ulivyoniwakia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba list walioleta mpka sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani bado naendelea kupokea maombi
Weee unamjua au??atatoa povu hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha Fanya hivyo halafu ukimbie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]This is how you apologise guys. Siyo unatoa shoo ya kibabe halafu kesho yake unatokomea tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halijaharibika neno kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
So pain lakini wacha aende hayuko happy to stay LiverpoolPhilippe Coutinho, ambaye Barca waliwasilisha £114m mapema Agosti kutaka kumchukua mapema Agosti lakini ombi lao likakataliwa, amesalia kuwa mchezaji wa Liverpool lakini bado anaweza kuhama kwani dirisha la kuhama wachezaji Uhispania litafungwa saa saba usiku Ijumaa.
Mahrez na Costa pia wamehusishwa na klabu za Uhispania.
So pain lakini wacha aende hayuko happy to stay Liverpool
Mimi nimeogopa kum cc mpare[emoji23][emoji23][emoji23]Cc. Uniq....
.....and Baby S.....