Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
Nsamaka au naniMwenyekiti wea a yuuuView attachment 580300
Cc:andjul[emoji134][emoji134][emoji134]Hivi nsamaka wakati tunaingia mkataba ulisoma vizuri kipengele #6a kwamba endapo utashindwa kumpata mama viv wewe ndo utahusika??[emoji41] bila kujalisha mazingira
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila hapa nimepata secretary kwel[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwenye sifa ya chura [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani tangazo la kuwa mama viv. Napenda kuwatangazia kuwa ndg yetu mpendwa wetu na kaka yetu Bob ananitahi mke aka mama viv.
Sifa za mhusika
Kwanza ajue kupika
Ajue kulea na awe na mapenzi na mtoto.
Asiwe mchoyo wala mchafu.
Elimu ngazi ya diploma.
Chura muhimu yaan msambwanda.
Maombi yote yatumwe kwangu mm nsamaka. Na mwisho wa kupokea maombi ni kesho tarehe 03/09/2017 saa nane mchana.
Watakaokidhi vigezo watafanyiwa usaili kesho saa 12 hadi saa moja. Na matokeo yatatoka tarehe 04 Sept 2017 saa kumi alfajiri
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]Mwee nimekosa kwanza nna elimu darasa la nne,pili nasunta balaa so ka viv ntakafundisha michambo mpaka baba yake atakoma
Kupika sijui kabisaa
Umama wa kambo kazi mweee
Aiseee nina pasi ya nguvu kama tu dada twa kikorea uwiiii hahahaaa
Shem naona leo washusha mashair[emoji28][emoji443][emoji443][emoji443][emoji444][emoji444][emoji444][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji443][emoji443]
Avicii
"Without You"
(feat. Sandro Cavazza)
You said that we would always be
Without you I feel lost at sea
Through the darkness you'd hide with me
Like the wind we'd be wild and free
You said you'd follow me anywhere
But your eyes tell me you won't be there
I've gotta learn how to love without you
I've gotta carry my cross without you
Stuck in a riddle and I'm just about to
Figure it out without you
And I'm done sitting home without you
**** I'm going out without you
I'm gonna tear this city down without you
I'm goin' Bonnie and Clyde without you
Now I'm running away my dear
From myself and the truth I fear
My heart is beating I can't see clear
How I'm wishing that you were here
You said you'd follow me anywhere
But your eyes tell me you won't be there
I've gotta learn how to love without you
I've gotta carry my cross without you
Stuck in a riddle and I'm just about to
Figure it out without you
And I'm done sitting home without you
**** I'm going out without you
I'm gonna tear this city down without you
I'm goin' Bonnie and Clyde without you...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji41] [emoji41]
PamojaWeekend inaendelea..
PamojaLikes zinaendelea
Bila kuangalia mazingira halisiCc:andjul[emoji134][emoji134][emoji134]
Kabisa mkuuAmani inaendelea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Si mlete matokeo basi? Mama Viv ni nani? Wengine tuna spesho interesti kwenye hii ishu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pata likesNimemiss malikes
Lexus Mayai
Hahahahaha ho chi Minh
Hahahha
We mchina wewe unataka nipigwe eeh
Poa mchina mambo niaje
Kama kawaidaMaisha yanaendelea..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dooh una detailsNelopey Shongwe. South Africa. 407 Posts. 40.5 Followers. Married with kids...
https://www.instagram.com/nelopey_shongwe/
Mwenyekiti njoo huku unaitwa. Katibu wako mi nasaidia saidia tu kuweka mambo sawa [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️