Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20170903-WA0018.jpg
 
Cake Machungwa 2 yapare lile ganda lake. Kisha kamua upate maji yake chungwa kikombe 1. Sukari vikombe 2 isage iwe unga. Mayai 4 Cocoa robo kikombe Mafuta nusu kikombe Unga vikombe 2 Baking powder vijiko 2 Ark Chumvi kiduchu Namna ya kupika Piga mayai kwa mashine mpaka yavimbe tia ark na mafuta saga pamoja kisha weka ile juice ya chungwa na yale maganda uloyapara saga pamoja kisha weka unga na ile sukari ulosaga changanya vizuri kisha tia chumvi kiduchu tuu ukisha changanyika vizuri. punguze ktk kibakuli mchanganyiko wako chota km vijiko 8 vikubwa vya chakula ktk hicho kibakuli kisha tia cocoa changanya vizuri. Paka tray mafuta au siagi vizuri kisha mimina huo mchanganyiko wako ulokua hauna cocoa mimina wote ktk tray kisha tia huo wenye cocoa tia kwa kijiko hii kijiko 1 baada ya kimoja sehemu tofauti juu ya hiyo mchanganyiko wako wa plain ukisha maliza chukua kisu fanya kuikoroga km unachora no 8 vile lkn sio mpaka chini ni juujuu tuu. Ukimaliza ichome cake km kawaida.
 
Half cake:- 5 unga (self raising flour) 1 sukari kikombe Nusu kikombe mafuta Hiliki 2 vijoko vikubwa rob 1 kijiko kikubwa vinegar 4 mayai 1/2 maji 2 vijiko vikubwa maziwa ya unga 2 vijiko vikubwa nazi ya powder Kanda half paka mafuta ufunike kidogo tayarisha mafuta ya kuchome kata madonge sukuma kidogo tu kata na kuchoma... Usitie mwngi mengi wakati unachoma sbb yanavimba.
 
Kopa mkopo ili uanzishe au uendeleze biashara yako ili upate ela za kurejesha mkopo uliochukua. .... Kamwe Usikope ela Kwa ajili ya anasa, kununua Madera ya sherehe ama kucheza vigodoro hasa pale ambapo huna shughuli yoyote ya kukuingizia kipato Mwisho Wa siku mtakimbizana kimbizana kama mwizi na polisi
 
Ujarisiriamali kwenye tija;
Wakati Wa kutafuta masoko hakikisha mambo matau yafuatayo yanazingatiwa;
1.Je [HASHTAG]#wateja[/HASHTAG] wako ni nani? Je una uwezo Wa kufikia mahitaji yao?
2.Je [HASHTAG]#bidhaa[/HASHTAG] yako ni IPI? Wateja wako wanahitaji bidhaa gani kutoka kwako?
3.Je [HASHTAG]#washindani[/HASHTAG] wako ni akina nani? Nani anauza bidhaa kama yako/ na bei yake ni gani?
Je wana sifa gani
Hii itakusaidia kujua wapi pa kuboresha....
 
Back
Top Bottom