Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Utanifanya nifike Shinyanga kwa mara ya kwanza[emoji173]

Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu sana kwenye mkoa uliojaa watu wakarimu, wapole na wacheshi km mm. Huku kila kitu mi nduhu taabu yaan hakuna shida.
Hatuna makuu watu wa huku, undugu ndio hazina yetu, popote ifikapo basi ni km umefika nyumbani
 
Back
Top Bottom