Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pia Tanzania ni kubwa Dar ni sehemu ndogo tu ya Tanzania. Kama kuishi Dar kunakupa ukakasi unahamia Kibondo, uvinza, namanyele, msimbati,mutukula, rolya, holoholo, loliondo,bariadi, ngerengere, kashozi, katoro, mtabila, chiungutwa, nk, nk. Tanzania ni nchi kuuubwa. Gonga likes mkuu twende sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushirombo ,kahama,kiembe samaki,kiembe mbuzi,mwitikira,Mpunguzi,hembahemba, du nchi likubwa hili
 
Back
Top Bottom