Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa Tanzania hayo mapigano yanayoweza kupelekea watu kufika The Hague sahau kabisa,
Reason?? Dar ni ya pili kwa watu waoga zaidi Africa
Hatutarajii mapigano, hatutaki mapigano, hatuna nia ya mapigano, tunapenda amani, tutahimiza kuilinda amani, hatuna ukabila, tutabaki wamoja daima. Lakini tunataka KATIBA ya wakati huu
 
Kwa Tanzania hayo mapigano yanayoweza kupelekea watu kufika The Hague sahau kabisa,
Reason?? Dar ni ya pili kwa watu waoga zaidi Africa
Pia Tanzania ni kubwa Dar ni sehemu ndogo tu ya Tanzania. Kama kuishi Dar kunakupa ukakasi unahamia Kibondo, uvinza, namanyele, msimbati,mutukula, rolya, holoholo, loliondo,bariadi, ngerengere, kashozi, katoro, mtabila, chiungutwa, nk, nk. Tanzania ni nchi kuuubwa. Gonga likes mkuu twende sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ce02e38663617e60de27f87da557fac8.jpg
 
Back
Top Bottom