moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kwa Tanzania hayo mapigano yanayoweza kupelekea watu kufika The Hague sahau kabisa,Hata Kenya ilikuwa hivyo, lakini kitendo cha viongozi wale kufikishwa kwenye mahakama ya uhalifu wa kivita The Hague, kwa kosa la kuhimiza mapigano ya kikabila, kulipelekea kupatikana kwa katiba ya mfano kwenye eneo letu hili.
Sent using Jamii Forums mobile app