maringeni
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 3,196
- 3,901
Jecha anaongozwa na katiba ya ujanja ujanja ya Zanzibar. Kenya pia walikuwa na katiba ya kijanja, lakini kilochowakuta ni historia iliyowapeleka kupata katibu Bora. Mkiwa na katiba makini kila mmoja anakuwa makini kwenye eneo lake. Gonga likes, post tukumwagie likes. Siasa tupa kuleeeee>>>
Hiyo unayoiita Katiba Makini haiwezi kupatikana ikiwa watu ambao wanatakiwa waanzishe huo mchakato wana wasiwasi inaweza ikawaondoa. Ni sawa na wewe uanzishe movement ambayo unajua mwoshowe inaweza "ikala kwako"Jecha anaongozwa na katiba ya ujanja ujanja ya Zanzibar. Kenya pia walikuwa na katiba ya kijanja, lakini kilochowakuta ni historia iliyowapeleka kupata katibu Bora. Mkiwa na katiba makini kila mmoja anakuwa makini kwenye eneo lake. Gonga likes, post tukumwagie likes. Siasa tupa kuleeeee>>>
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta Mkuu utazipata Tu.Best una Likes 82,000 +, nipunguzie zingine basi
Uzi wa kijanja, gonga likes mwanakwetuTUME YA UCHAGUZI NCHINI KENYA IMEOMBA WASIMAMIZI 15000 KUTOKA TANZANIA SIFA
1. AWE ALISHAWAHI SIMAMIA UCHAGUZI TANZANIA JAPO MARA MOJA
2.UMRI USIOPUNGUA MIAKA 18
3.AWE NA AKILI TIMAMU
AWE ANAFAHAMU KUSOMA NA KUANDIKA
4.AWE HAJAWAHI KUWA NA KOSA LA JINAI
5.AAMBATANISHE NAKALA ZA VYETI VYA TAALUMA NA CHETI CHA KUZALIWA.
NAULI KWENDA NA KURUDI SELIKARI ITAGARAMIA
POSHO NI sh 30000 za Kenya kwa siku, siku 3=sh 90000 sawa na Tsh 1620000
GARAMA ZA KULA NA KULALA BURE
MAOMBI YATUMWE
TUME YA UCHAGUZI YA KENYA BOX 149 DARESALAAM.
ACHA MAWAZO MGANDO PAMBANA NA HALI YAKO TU TANGU LINI WEWE UKASIMAMIE KENYA? [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
CantstopwontStop
HayaaTafuta Mkuu utazipata Tu.
CantstopwontStop
Gonga likes pata likesBest una Likes 82,000 +, nipunguzie zingine basi
Hata Kenya ilikuwa hivyo, lakini kitendo cha viongozi wale kufikishwa kwenye mahakama ya uhalifu wa kivita The Hague, kwa kosa la kuhimiza mapigano ya kikabila, kulipelekea kupatikana kwa katiba ya mfano kwenye eneo letu hili.Hiyo unayoiita Katiba Makini haiwezi kupatikana ikiwa watu ambao wanatakiwa waanzishe huo mchakato wana wasiwasi inaweza ikawaondoa. Ni sawa na wewe uanzishe movement ambayo unajua mwoshowe inaweza "ikala kwako"