moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
numbisa, Mwalimu wa walimuMisingi hii mitano ni muhimu sana kwa biashara. Hakuna msingi ambao unaweza kusema ni muhimu zaidi ya mwingine, yote inategemeana. Ili biashara yoyote iweze kudumu ni muhimu kuzingatia misingi hiyo.