mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kenya waliweza why sisi gonga likes only siasa hapa si mahala pakeHiyo unayoiita Katiba Makini haiwezi kupatikana ikiwa watu ambao wanatakiwa waanzishe huo mchakato wana wasiwasi inaweza ikawaondoa. Ni sawa na wewe uanzishe movement ambayo unajua mwoshowe inaweza "ikala kwako"